caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qalam, Aya 11

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 2 · 68:11

هَمَّازٍ مَّشَّآءٍۭ بِنَمِيمٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMwenye kukejeli mno, anayetangatanga akieneza maneno ya kufitini.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMtapitapi apitae akifitini.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70