caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qalam, Aya 10

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 2 · 68:10

وَلَا تُطِعْ كُلَّ حَلَّافٍ مَّهِينٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWala usimtii kila mwingi wa kuapa, anayedharauliwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWala usimt'ii kila mwingi wa kuapa wa kudharauliwa,
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70