caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Mulk, Aya 30

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 77 · 67:30

قُلْ أَرَءَيْتُمْ إِنْ أَصْبَحَ مَآؤُكُمْ غَوْرًا فَمَن يَأْتِيكُم بِمَآءٍ مَّعِينٍۭ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterSema: Mwaonaje, yakiwa maji yenu yamedidimia chini, ni nani atakuleteeni maji yanayomiminika?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSema: Mwaonaje, yakiwa maji yenu yamedidimia chini, nani atakueleteeni maji yanayo miminika?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70