caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Waaqia, Aya 70

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 46 · 56:70

لَوْ نَشَآءُ جَعَلْنَٰهُ أُجَاجًا فَلَوْلَا تَشْكُرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterTungelipenda, tungeliyafanya ya chumvi. Basi mbona hamshukuru?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniTungeli penda tungeli yafanya ya chumvi. Basi mbona hamshukuru?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70