caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Waaqia, Aya 69

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 46 · 56:69

ءَأَنتُمْ أَنزَلْتُمُوهُ مِنَ ٱلْمُزْنِ أَمْ نَحْنُ ٱلْمُنزِلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterJe, ni nyinyi mnaoyateremsha kutoka mawinguni au ni Sisi ndio wenye kuyateremsha?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniJe! Ni nyinyi mnayo yateremsha kutoka mawinguni au ni Sisi ndio wenye kuyateremsha?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70