caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qamar, Aya 50

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 37 · 54:50

وَمَآ أَمْرُنَآ إِلَّا وَٰحِدَةٌ كَلَمْحٍۭ بِٱلْبَصَرِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa amri yetu haikuwa ila ni moja tu, kama kupepesa jicho.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa amri yetu haikuwa ila ni moja tu, kama kupepesa jicho.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70