caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qamar, Aya 51

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 37 · 54:51

وَلَقَدْ أَهْلَكْنَآ أَشْيَاعَكُمْ فَهَلْ مِن مُّدَّكِرٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa bila ya shaka tumekwisha waangamiza wenzenu. Lakini yupo anayekumbuka?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa bila ya shaka tumekwisha waangamiza wenzenu. Lakini yupo anaye kumbuka?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70