caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura At-Tur, Aya 41

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 76 · 52:41

أَمْ عِندَهُمُ ٱلْغَيْبُ فَهُمْ يَكْتُبُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAu wanayo elimu ya ghaibu, nao wameandika?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAu wanayo ilimu ya ghaibu, nao wameandika?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70