أَمْ تَسْـَٔلُهُمْ أَجْرًا فَهُم مِّن مَّغْرَمٍ مُّثْقَلُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterAu wewe unawaomba ujira, na kwa hivyo ndio wanaelemewa na uzito wa gharama?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAu wewe unawaomba ujira, na kwa hivyo ndio wanaelemewa na uzito wa gharama?