caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura At-Tur, Aya 33

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 76 · 52:33

أَمْ يَقُولُونَ تَقَوَّلَهُۥ بَل لَّا يُؤْمِنُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAu ndiyo wanasema: 'Ameitunga hii!' Bali basi tu hawaamini!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAu ndio wanasema: Ameitunga hii! Bali basi tu hawaamini!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70