فَلْيَأْتُوا۟ بِحَدِيثٍ مِّثْلِهِۦٓ إِن كَانُوا۟ صَٰدِقِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi nawalete masimulizi kama haya ikiwa wao wanasema kweli.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi nawalete masimulizi kama haya ikiwa wao wanasema kweli.