caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Adh-Dhaariyat, Aya 25

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 67 · 51:25

إِذْ دَخَلُوا۟ عَلَيْهِ فَقَالُوا۟ سَلَٰمًا قَالَ سَلَٰمٌ قَوْمٌ مُّنكَرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWalipoingia kwake na wakasema: 'Salama!' Na yeye akasema: 'Salama! Nyinyi ni watu nisiowajua.'
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWalipo ingia kwake wakasema: Salama! Na yeye akasema: Salama! Nyinyi ni watu nisio kujueni.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70