caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Adh-Dhaariyat, Aya 24

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 67 · 51:24

هَلْ أَتَىٰكَ حَدِيثُ ضَيْفِ إِبْرَٰهِيمَ ٱلْمُكْرَمِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterJe, imekufikia hadithi ya wageni wa Ibrahim wanaoheshimiwa?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniJe! Imekufikia hadithi ya wageni wa Ibrahim wanao hishimiwa?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70