caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Adh-Dhaariyat, Aya 26

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 67 · 51:26

فَرَاغَ إِلَىٰٓ أَهْلِهِۦ فَجَآءَ بِعِجْلٍ سَمِينٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi akaenda kwa ahali yake na akaja na ndama aliyenona.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAkenda kwa ahali yake na akaja na ndama aliye nona.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70