caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Adh-Dhaariyat, Aya 15

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 67 · 51:15

إِنَّ ٱلْمُتَّقِينَ فِى جَنَّٰتٍ وَعُيُونٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika wacha Mungu watakuwa katika Mabustani ya mbinguni na chemchemi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika wachamngu watakuwa katika Mabustani na chemchem.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70