caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Adh-Dhaariyat, Aya 14

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 67 · 51:14

ذُوقُوا۟ فِتْنَتَكُمْ هَٰذَا ٱلَّذِى كُنتُم بِهِۦ تَسْتَعْجِلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterOnjeni adhabu yenu! Haya ndiyo mliyokuwa mkiyafanyia haraka.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniOnjeni adhabu yenu! Haya ndiyo mliyo kuwa mkiyahimiza.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70