caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Qaaf, Aya 43

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 34 · 50:43

إِنَّا نَحْنُ نُحْىِۦ وَنُمِيتُ وَإِلَيْنَا ٱلْمَصِيرُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika Sisi tunahuisha na tunafisha, na kwetu Sisi ndio marejeo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika Sisi tunahuisha na tunafisha, na kwetu Sisi ndio marejeo.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70