يَوْمَ يَسْمَعُونَ ٱلصَّيْحَةَ بِٱلْحَقِّ ذَٰلِكَ يَوْمُ ٱلْخُرُوجِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterSiku watakaposikia ukelele wa haki. Hiyo ndiyo siku ya kufufuka.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSiku watakapo sikia ukelele wa haki. Hiyo ndiyo siku ya kufufuka.