caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Qaaf, Aya 28

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 34 · 50:28

قَالَ لَا تَخْتَصِمُوا۟ لَدَىَّ وَقَدْ قَدَّمْتُ إِلَيْكُم بِٱلْوَعِيدِ

Swahili Translation - Rowad Translation Center(Mwenyezi Mungu) aseme: 'Msigombane mbele yangu. Tayari niliwaletea mbele onyo langu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani(Mwenyezi Mungu) aseme: Msigombane mbele yangu. Nilikuleteeni mbele onyo langu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70