caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Ahqaf, Aya 27

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 66 · 46:27

وَلَقَدْ أَهْلَكْنَا مَا حَوْلَكُم مِّنَ ٱلْقُرَىٰ وَصَرَّفْنَا ٱلْـَٔايَٰتِ لَعَلَّهُمْ يَرْجِعُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hakika tuliiangamiza miji iliyo jirani zenu, na tulizitumia Ishara mbalimbali ili wapate kurejea.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa hakika tuliiangamiza miji ilio jirani zenu, na tulizitumia Ishara ili wapate kurejea.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70