caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ad-Dukhaan, Aya 25

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 64 · 44:25

كَمْ تَرَكُوا۟ مِن جَنَّٰتٍ وَعُيُونٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMabustani mangapi na chemchemi ngapi waliziacha!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMabustani mangapi, na chemchem ngapi waliziacha!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70