caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ad-Dukhaan, Aya 24

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 64 · 44:24

وَٱتْرُكِ ٱلْبَحْرَ رَهْوًا إِنَّهُمْ جُندٌ مُّغْرَقُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa iache bahari vivyo hivyo imeachana, hakika wao ni jeshi litakalozamishwa.'
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa iache bahari vivyo hivyo imeachana, hakika wao hao ni jeshi litakalo zamishwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70