caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zukhruf, Aya 68

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 63 · 43:68

يَٰعِبَادِ لَا خَوْفٌ عَلَيْكُمُ ٱلْيَوْمَ وَلَآ أَنتُمْ تَحْزَنُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterEnyi waja wangu! Hamtakuwa na khofu siku hiyo, wala hamtahuzunika.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniEnyi waja wangu! Hamtakuwa na khofu siku hiyo, wala hamtahuzunika.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70