ٱلْأَخِلَّآءُ يَوْمَئِذٍۭ بَعْضُهُمْ لِبَعْضٍ عَدُوٌّ إِلَّا ٱلْمُتَّقِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterSiku hiyo marafiki watakuwa ni maadui wao kwa wao, isipokuwa wacha Mungu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSiku hiyo marafiki watakuwa ni maadui, wao kwa wao, isipo kuwa wachamngu.