caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zukhruf, Aya 69

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 63 · 43:69

ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ بِـَٔايَٰتِنَا وَكَانُوا۟ مُسْلِمِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAmbao waliziamini Ishara zangu na walikuwa Waislamu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAmbao waliziamini Ishara zangu na walikuwa Waislamu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70