هَلْ يَنظُرُونَ إِلَّا ٱلسَّاعَةَ أَن تَأْتِيَهُم بَغْتَةً وَهُمْ لَا يَشْعُرُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterJe, nini wanangojea ila Saa iwajie kwa ghafla na wala wao hawatambui?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniJe! Nini wanangojea ila Saa iwajie kwa ghafla na wala wao hawatambui?