caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zukhruf, Aya 56

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 63 · 43:56

فَجَعَلْنَٰهُمْ سَلَفًا وَمَثَلًا لِّلْـَٔاخِرِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKisha tukawafanya kuwa watangulizi na mfano kwa wa baadaye.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWalipo tukasirisha tuliwapatiliza tukawazamisha wote!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70