caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zukhruf, Aya 55

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 63 · 43:55

فَلَمَّآ ءَاسَفُونَا ٱنتَقَمْنَا مِنْهُمْ فَأَغْرَقْنَٰهُمْ أَجْمَعِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWalipotukasirisha, tuliwapatiliza tukawazamisha wote!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWalipo tukasirisha tuliwapatiliza tukawazamisha wote!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70