caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zukhruf, Aya 57

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 63 · 43:57

وَلَمَّا ضُرِبَ ٱبْنُ مَرْيَمَ مَثَلًا إِذَا قَوْمُكَ مِنْهُ يَصِدُّونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa alipopigiwa mfano Mwana wa Mariamu, watu wako waliupigia ukelele.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa alipo pigiwa mfano Mwana wa Mariamu, watu wako waliupiga ukelele.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70