caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zukhruf, Aya 36

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 63 · 43:36

وَمَن يَعْشُ عَن ذِكْرِ ٱلرَّحْمَٰنِ نُقَيِّضْ لَهُۥ شَيْطَٰنًا فَهُوَ لَهُۥ قَرِينٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAnayeyafanyia upofu maneno ya Rahmani tunamwekea Shetani kuwa ndiye rafiki yake.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAnaye yafanyia upofu maneno ya Rahmani tunamwekea Shet'ani kuwa ndiye rafiki yake.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70