وَإِنَّهُمْ لَيَصُدُّونَهُمْ عَنِ ٱلسَّبِيلِ وَيَحْسَبُونَ أَنَّهُم مُّهْتَدُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hakika wao wanawazuilia Njia na wenyewe wanadhani kuwa wameongoka.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa hakika wao wanawazuilia Njia na wenyewe wanadhani kuwa wameongoka.