caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nisaa, Aya 156

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 92 · 4:156

وَبِكُفْرِهِمْ وَقَوْلِهِمْ عَلَىٰ مَرْيَمَ بُهْتَٰنًا عَظِيمًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa kwa kufuru zao na kusema kwao juu ya Maryam uongo mkubwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa pia kwa kufuru zao na kumsingizia kwao Maryamu uwongo mkubwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70