caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zumar, Aya 34

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 59 · 39:34

لَهُم مَّا يَشَآءُونَ عِندَ رَبِّهِمْ ذَٰلِكَ جَزَآءُ ٱلْمُحْسِنِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWatapata watakachotaka kwa Mola wao Mlezi. Hayo ndiyo malipo ya watendao mema.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWatapata watakacho taka kwa Mola wao Mlezi. Hayo ndiyo malipo ya watendao mema.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70