caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zumar, Aya 33

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 59 · 39:33

وَٱلَّذِى جَآءَ بِٱلصِّدْقِ وَصَدَّقَ بِهِۦٓ أُو۟لَٰٓئِكَ هُمُ ٱلْمُتَّقُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa aliyeuleta ukweli na akausadiki - hao ndio wacha Mungu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa aliye ileta Kweli na akaithibitisha - hao ndio wachamngu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70