caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura As-Saaffaat, Aya 5

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 56 · 37:5

رَّبُّ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلْأَرْضِ وَمَا بَيْنَهُمَا وَرَبُّ ٱلْمَشَٰرِقِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMola Mlezi wa mbingu na ardhi, na yaliyomo kati yake, na ni Mola Mlezi wa mashariki zote.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMola Mlezi wa mbingu na ardhi, na yaliyomo kati yao, na ni Mola Mlezi wa mashariki zote.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70