caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yaseen, Aya 43

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 41 · 36:43

وَإِن نَّشَأْ نُغْرِقْهُمْ فَلَا صَرِيخَ لَهُمْ وَلَا هُمْ يُنقَذُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa tukitaka, tunawazamisha, wala hapana wa kuwasaidia, wala hawaokolewi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tukitaka tunawazamisha, wala hapana wa kuwasaidia, wala hawaokolewi,
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70