caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yaseen, Aya 42

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 41 · 36:42

وَخَلَقْنَا لَهُم مِّن مِّثْلِهِۦ مَا يَرْكَبُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa tukawaumbia kutoka mfano wake wanavyovipanda.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tukawaumbia kutoka mfano wake wanavyo vipanda.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70