caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yaseen, Aya 41

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 41 · 36:41

وَءَايَةٌ لَّهُمْ أَنَّا حَمَلْنَا ذُرِّيَّتَهُمْ فِى ٱلْفُلْكِ ٱلْمَشْحُونِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ni Ishara kwao kwamba Sisi tuliwapakia dhuria zao katika jahazi lililosheheni.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa ni Ishara kwao kwamba Sisi tuliwapakia dhuriya zao katika jahazi ilio sheheni.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70