caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Saba, Aya 35

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 58 · 34:35

وَقَالُوا۟ نَحْنُ أَكْثَرُ أَمْوَٰلًا وَأَوْلَٰدًا وَمَا نَحْنُ بِمُعَذَّبِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wakasema, "Sisi tuna mali nyingi zaidi na watoto, wala sisi hatutaadhibiwa."
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wakasema: Sisi tuna mali mengi zaidi na watoto, wala sisi hatutaadhibiwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70