caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Naml, Aya 27

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 48 · 27:27

قَالَ سَنَنظُرُ أَصَدَقْتَ أَمْ كُنتَ مِنَ ٱلْكَٰذِبِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkasema (Suleiman): Tutatazama iwapo umesema ukweli au wewe ni miongoni mwa waongo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAkasema (Sulaiman): Tutatazama umesema kweli au wewe ni miongoni mwa waongo.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70