caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Naml, Aya 26

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 48 · 27:26

ٱللَّهُ لَآ إِلَٰهَ إِلَّا هُوَ رَبُّ ٱلْعَرْشِ ٱلْعَظِيمِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMwenyezi Mungu - hapana mungu isipokuwa Yeye, Mola Mlezi wa Kiti cha Enzi kitukufu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMwenyezi Mungu - hapana mungu ila Yeye, Mola Mlezi wa A'rshi tukufu
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70