يُرِيدُ أَن يُخْرِجَكُم مِّنْ أَرْضِكُم بِسِحْرِهِۦ فَمَاذَا تَأْمُرُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterAnataka kuwatoa katika nchi yenu kwa uchawi wake. Basi mna shauri gani?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAnataka kukutoeni katika nchi yenu kwa uchawi wake. Basi mna shauri gani?