caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 36

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:36

قَالُوٓا۟ أَرْجِهْ وَأَخَاهُ وَٱبْعَثْ فِى ٱلْمَدَآئِنِ حَٰشِرِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWakasema: Mpe muda yeye na kakaye na uwatume mijini wakusanyao watu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWakasema: Mpe muda yeye na nduguye na uwatume mijini wapigao mbiu ya mgambo.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70