caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 34

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:34

قَالَ لِلْمَلَإِ حَوْلَهُۥٓ إِنَّ هَٰذَا لَسَٰحِرٌ عَلِيمٌ

Swahili Translation - Rowad Translation Center(Firauni) akawaambia waheshimiwa waliomzunguka: Hakika huyu ni mchawi mtaalamu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani(Firauni) akawaambia waheshimiwa walio mzunguka: Hakika huyu ni mchawi mtaalamu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70