caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 33

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:33

وَنَزَعَ يَدَهُۥ فَإِذَا هِىَ بَيْضَآءُ لِلنَّٰظِرِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa akautoa nje mkono wake, mara ukawa mweupe kwa watazamao.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa akautoa mkono wake, na mara ukawa mweupe kwa watazamao.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70