caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 216

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:216

فَإِنْ عَصَوْكَ فَقُلْ إِنِّى بَرِىٓءٌ مِّمَّا تَعْمَلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ikiwa watakuasi, basi sema: Mimi ninajitenga mbali na hayo mnayoyatenda.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa ikiwa watakuasi basi sema: Mimi najitenga mbali na hayo mnayo yatenda.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70