caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 217

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:217

وَتَوَكَّلْ عَلَى ٱلْعَزِيزِ ٱلرَّحِيمِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa umtegemee Mtukufu Mwenye nguvu, Mwingi wa kurehemu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa umtegemee Mtukufu Mwenye nguvu Mwenye kurehemu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70