caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 17

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:17

أَنْ أَرْسِلْ مَعَنَا بَنِىٓ إِسْرَٰٓءِيلَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwamba: Waachilie Wana wa Israili waende pamoja nasi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWaachilie Wana wa Israili wende nasi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70