caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muminoon, Aya 98

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 74 · 23:98

وَأَعُوذُ بِكَ رَبِّ أَن يَحْضُرُونِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ninajikinga kwako, Mola wangu Mlezi, wasinikaribie.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa najikinga kwako, Mola wangu Mlezi, wasinikaribie.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70