caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muminoon, Aya 99

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 74 · 23:99

حَتَّىٰٓ إِذَا جَآءَ أَحَدَهُمُ ٱلْمَوْتُ قَالَ رَبِّ ٱرْجِعُونِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMpaka yanapomfikia mmoja wao mauti, husema: "Mola wangu Mlezi! Nirudishe.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMpaka yanapo mfikia mmoja wao mauti, husema: Mola wangu Mlezi! Nirudishe.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70